Lrc Player

Nita Amini

Israel Mbonyi
[13:03.67]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:52.89] Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini.

[01:02.45] Satajitia unajisi, Chakula cha ufalme.

[01:12.28] Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa.

[01:21.84] NiNa uhakika waweza, waweza kuniponya,

[01:31.93] Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu

[01:40.43] Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti

[01:47.60] Nina wewe sitaogopa kamwe

[01:52.65] Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu,

[02:00.10] Si na mashaka wanibeba mgongoni

[02:06.48] Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote

[02:12.59] Hata usiyafanye hayo yoote

[02:20.84] Bado nitaamini

[02:25.88] Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote

[02:37.04] Hata usiyafanye hayo yoote

[02:38.10] Bado nitaamini

[02:47.93] Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini

[02:57.49] Satajitia unajisi, Chakula cha ufalme

[03:07.32] Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa

[03:17.68] NiNa uhakika waweza, waweza kuniponya,

[03:26.73] Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu

[03:35.54] Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti

[03:42.98] Nina wewe sitaogopa kamwe

[03:47.76] Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu,

[03:54.66] Si na mashaka wanibeba mgongoni

[04:01.31] Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote

[04:08.76] Hata usiyafanye hayo yoote

[04:16.46] Bado nitaamini

[04:19.65] Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote

[04:30.81] Hata usiyafanye hayo yoote

[04:31.34] Bado nitaamini

[04:43.30] Si Mara ya kwanza kunitowa katika magumu

[04:52.59] Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu

[05:02.41] Ni na historia maalum,We ni chemchemi ya uzima.

[05:12.51] Si Mara ya kwanza kunitowa katika magumu

[05:22.07] Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu

[05:31.90] Ni na historia maalum,We ni chemchemi ya uzima.

[05:41.73] Si Mara ya kwanza kunitowa katika magumu

[05:51.29] Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu

[06:10.15] Ni na historia maalum,We ni chemchemi ya uzima.

[06:12.27] Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti

[06:19.98] Nina wewe sitaogopa kamwe

[06:24.49] Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu,

[06:31.67] Si na mashaka wanibeba mgongoni

[06:38.04] Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote

[06:48.93] Hata usiyafanye hayo yoote

[06:49.46] Bado nitaamini

[06:57.43] Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote

[07:05.13] Hata usiyafanye hayo yoote

[07:12.05] Bado nitaamini

[07:20.81] Nitaamini,

[07:24.79] Bado nitaamini

[07:33.82] Ukiniponya nitaamini,

[07:39.15] Hata usiniponye bado nitaamini

[07:47.92] Ukinijibu nitaamini,

[07:50.04] Hata usinijibu bado nitaamini

[08:13.95] Ukibadilisha nitaamini,

[08:19.53] Hata usibadilishe bado nitaamini

[08:20.59] Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini

[08:38.72] Nina ushuhuda,

[08:38.98] Wewe ni mwaminifu "

[08:40.04] Nitaamini,

[08:40.84] Bado nitaamini

[09:01.56] Ukiniponya nitaamini,

[09:02.36] Hata usiniponye bado nitaamini

[09:03.15] Ukinijibu nitaamini,

[09:03.95] Hata usinijibu bado nitaamini

[09:04.48] Ukibadilisha nitaamini,

[09:05.28] Hata usibadilishe bado nitaamini

[09:06.34] Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini

[09:16.17] Nina ushuhuda,

[09:22.01] Wewe ni mwaminifu "

[09:26.00] Nitaamini,

[09:31.58] Bado nitaamini

[09:35.83] Ukiniponya nitaamini,

[09:44.86] Hata usiniponye bado nitaamini

[09:54.95] Ukinijibu nitaamini,

[10:04.25] Hata usinijibu bado nitaamini

[10:15.40] Ukibadilisha nitaamini,

[10:16.47] Hata usibadilishe bado nitaamini

[10:17.27] Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini

[10:25.23] Nina ushuhuda,

[10:30.01] Wewe ni mwaminifu "

[10:33.47] Nina ushuhuda,

[10:38.78] Wewe ni mwaminifu "

[10:43.56] Nina ushuhuda,

[10:50.20] Wewe ni mwaminifu "

[10:54.98] Nina ushuhuda,

[10:59.76] Wewe ni mwaminifu "

[11:03.22] Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini

[11:13.31] Nina ushuhuda,

[11:18.62] Wewe ni mwaminifu "

[11:29.25] Nitaamini

[11:39.08] Nitaamini

[11:49.17] Nitaamini

[11:58.73] Nitaamini...

[11:59.80] Nitaamini

[12:00.59] Nitaamini

[12:02.45] Nitaamini...