Zawadi
[00:11.95] Mon chéri, je t'aime beaucoup
[00:17.00] Penzi lako guu lime-menasa
[00:23.37] Mon chéri, kama uchawi uko
[00:27.36] Mganga wako fundi hasa, hasa
[00:31.64] He, mwavuli wangu moyo umeufunika (wewe ndio)
[00:37.22] Kiboko yangu unaijua pa kunishika
[00:41.46] Kama mapenzi belebele
[00:44.39] Lako laniwasha inemurwe
[00:47.31] Nshakupa moyo na mwili
[00:49.70] Uwe wako, uchukuwe
[00:53.15] Pokea (pokea)
[00:55.81] Zawadi (zawadi)
[00:58.49] Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)
[01:03.81] Pokea (pokea)
[01:06.46] Zawadi (zawadi)
[01:09.12] Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)
[01:29.84] Ooh, ma chérie (chérie)
[01:31.70] Miunji ya baridi wanikomea
[01:35.16] Geuka makini (makini)
[01:37.28] Macho yangu ye huona hufumbaria
[01:40.47] Zidishe sana mbawe huu nilisihi
[01:45.79] Niki kazana (kazana)
[01:51.12] Kama mapenzi pili-pili (pili)
[01:53.78] Lako laniwasha in a good way (good way)
[01:56.43] Shakupa moyo na mwili
[01:59.35] Uwe wako nchukue
[02:02.54] Pokea (pokea)
[02:05.20] Zawadi (zawadi)
[02:07.86] Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)
[02:13.17] Pokea (pokea)
[02:15.83] Zawadi (zawadi)
[02:18.49] Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)
[02:23.80] Njo tucheke compa (compa)
[02:26.73] Mmh, aah (oh, baby)
[02:29.37] We Laiser wewe
[02:31.50] Ye, ye, ye, iyaa
[02:34.68] Eeh bwarere (bwakacha)
[02:37.09] Ha, bwakacha (bwarere)
[02:40.01] Mm-mmh, ah
[02:45.86] Baby pokea (pokea)
[02:47.71] Zawadi (zawadi)
[02:50.64] Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)
[02:55.96] Baby pokea (pokea)
[02:59.43] Zawadi (zawadi)
[03:01.56] Ya upendo wangu (ya upendo wangu, my love)
[03:06.90] Oh, my love
