Lrc Player

Henrie Mutuku - Kunaye Mungu

Unknown artist
[03:55.41]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:20.06] Tangu utotoni waangu, kuna msemo nilijua

[00:24.61] Uwe ni mwenye harumu, mungu pia amuona

[00:29.43] Mbio za sakfuni, ukingoni huishia

[00:34.53] Na hakuna marefu ambayo yasiyo na ncha

[00:40.20] Kunaye Mungu aketiaye kiti cha enzi

[00:43.88] Mwenye hakimu hadanganyi kina mwanadamu

[00:48.70] Kunaye Mungu aketiaye kiti cha enzi

[00:53.52] Ujinga wake wazidi werevu wa mwanadamu

[01:00.02] Oooi! Oooi! Oooi!

[01:02.29] Mtu tajiri alilia aaaah!

[01:04.55] Aburahamu tuma Lazaro kwa dunia

[01:08.82] Akawambie ndugu zangu wale vichwa kubwa

[01:13.64] Wasiishi maisha ovyo, kwani Jehanamu nimeshaijua

[01:19.31] Kunaye Mungu aketiaye kiti cha enzi

[01:23.85] Mwenye hakimu hadanganyi kina mwanadamu

[01:28.64] Kunaye Mungu aketiaye kiti cha enzi

[01:34.02] Ujinga wake wazidi werevu wa mwanadamu

[01:38.56] Oooi! Oooi! Oooi!

[01:41.39] Mtu tajiri alilia aaaah!

[01:43.65] Aburahamu tuma Lazaro kwa dunia

[01:46.77] Akawambie ndugu zangu wale vichawa kubwa

[01:53.85] Wasiishi maisha ovyo, kwani Jehanamu nimeshaijua

[01:58.68] Kunaye Mungu aketiaye kiti cha enzi

[02:03.49] Mwenye hakimu hadanganyi kina mwanadamu

[02:08.31] Kunaye Mungu aketiaye kiti cha enzi

[02:13.41] Ujinga wake wazidi werevu wa mwanadamu

[02:20.75] Na kunao wanao lia

[02:22.73] Hii ni ahati yao

[02:25.29] Mioyo iliyovunjika

[02:27.28] Mungu yu karibu nayo

[02:33.78] Kunaye Mungu

[02:43.14] Kunaye Mungu

[02:53.58] Kunaye Mungu

[03:03.16] Kunaye Mungu