Uninyunyizie Maji - Our Lady Of Fatima Kongowea Choir
[00:34.55] Uninyunyizie maji, Bwana
[00:38.81] Uninyunyizie maji, Bwana
[00:43.07] Unioshe nitakate
[00:46.75] Kweli, niwe mweupe kabisa
[00:51.57] Unioshe nitakate
[00:54.97] Kweli, niwe mweupe kabisa
[01:06.32] Mimi ni mwenye dhambi, Bwana
[01:12.55] Mimi ni mwenye dhambi, Bwana
[01:17.94] Unioshe nitakate
[01:21.06] Kweli, niwe mweupe kabisa
[01:25.88] Unioshe nitakate
[01:29.28] Kweli, niwe mweupe kabisa
[01:42.54] Natamani nije kwako, Bwana
[01:47.92] Natamani nije kwako, Bwana
[01:52.18] Unioshe nitakate
[01:55.58] Kweli, niwe mweupe kabisa
[02:00.39] Unioshe nitakate
[02:03.50] Kweli, niwe mweupe kabisa
[02:17.95] Naingia nyumba yako, Bwana
[02:22.21] Naingia nyumba yako, Bwana
[02:25.90] Unioshe nitakate
[02:29.86] Kweli, niwe mweupe kabisa
[02:34.96] Unioshe nitakate
[02:38.92] Kweli, niwe mweupe kabisa
[02:51.94] Niuone uso wako, Bwana
[02:56.77] Niuone uso wako, Bwana
[03:01.30] Unioshe nitakate
[03:04.13] Kweli, niwe mweupe kabisa
[03:10.09] Unioshe nitakate
[03:13.49] Kweli, niwe mweupe kabisa
[03:27.09] Nifurahi milele, Bwana
[03:31.62] Nifurahi milele, Bwana
[03:35.02] Unioshe nitakate
[03:39.28] Kweli, niwe mweupe kabisa
[03:43.24] Unioshe nitakate
[03:47.49] Kweli, niwe mweupe kabisa
