Lrc Player

Inama

Diamond
[03:35.61]·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:18.06] Kukudekeza kama mtoto

[00:20.81] Furaha unafurahia

[00:23.31] Alafu geuka moto

[00:25.31] Machozi unalia

[00:27.31] Mwembamba mwenene

[00:29.80] Uwe na pesa kama Dangote(Dangote)

[00:32.33] Penzi halijali umasikini

[00:34.31] Laweza penda mtu yoyote

[00:36.81] Penzi sio somo

[00:38.85] Ukasome kwa kitabu

[00:41.32] Penzi limefanya Harmonize

[00:43.31] Afukuzishe Mwarabu

[00:45.82] Penzi oyoyo

[00:47.80] Limeleta kwa wanangu vita

[00:50.31] Siku hizi siwaoni

[00:52.56] Naishia kuwalike Insta

[00:54.83] Hivo asiyekupenda

[00:56.05] Achana naye

[00:57.31] Anayekupenda

[00:58.06] Pendana naye

[00:59.31] Mambo stress

[01:00.31] Ya nyumba ndani

[01:01.59] Ebu cheza ufurahi

[01:03.08] Kama songi limekolea

[01:04.81] Asa inama

[01:06.81] Ebu pinda mgongo(ooh ngo ngo ngo)

[01:09.06] Oya inama(inama beiby)

[01:10.81] Basi pinda mgongo(ngo ngo ngo ngo ngo)

[01:13.81] Asa inama(inama beiby)

[01:15.31] Ebu pinda mgongo

[01:16.81] Kama tungi limepoza

[01:18.06] Oya inama basi pinda mgongo

[01:21.09] Toujours l'amour e'bandaka na esengo ba bisous ba calins

[01:25.32] Ba cadeaux, ba je t'aime tout le temps

[01:29.81] Mawé eleka wapi bébé na nga aza présente

[01:33.81] Soucis eleka wapi? chérie na ngai azali ehhh

[01:38.56] Tango nyonso e'belaka nga Je t'aime

[01:43.09] Baloba basilika oh

[01:45.05] Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh!

[01:47.81] Baloba basilika oh

[01:49.55] Baloba basilika oh nga n'ako lembe teh!

[01:52.54] Chérie aza kitoko

[01:54.81] Chérie aza elengi trop

[01:57.32] Chérie aza kitoko

[01:59.32] Chérie aza elengi trop

[02:01.81] Parfois l'amour est compliqué mais chérie à moi est toujours romantique

[02:07.81] Asa inama (Oh oh oh)

[02:09.84] Ebu pinda mgongo (nakupenda mtoto)

[02:12.55] Oya inama (bana inama) basi pinda mgongo (bébé na ngai eh)

[02:15.58] (na lela oh ohohoh)

[02:17.32] Asa inama

[02:18.80] Ebu pinda mgongo(ooh mgongo)

[02:21.57] Oya inama basi pinda mgongo

[02:24.56] Asa nionyeshe unanyonga je

[02:26.58] Nyonga, nyonga kibasikeli

[02:28.81] Nyonga kaa kibasikeli

[02:31.08] Nyonga kama kibasikeli

[02:33.56] Ah kiuno kifanye pedeli

[02:35.60] Nyonga, nyonga kibasikeli

[02:38.06] Nyonga kaa kibasikeli

[02:40.06] Nyonga kama kibasikeli

[02:45.34] Ah nyonga, na kupinda mgongo

[02:47.80] Nyonga, nyonga kibasikeli

[02:49.06] Nyonga kaa kibasikeli

[02:50.56] Nyonga kama kibasikeli

[02:51.79] Nakucheza ka goma la kashikwa midadi

[02:53.81] Analishare lishare

[02:56.06] Analishare lishare(analilili)

[02:58.06] Analishare lishare

[03:00.06] Eh bia za kitonga kachanganya na nyagi

[03:02.81] Analishare lishare(yuko bwi)

[03:04.81] Analishare lishare(silali)

[03:07.32] Analishare lishare(oooh)

[03:14.58] Yeah Samuel Eto'o

[03:18.34] Didier Drogba

[03:20.05] Wasafi

[03:22.84] Fally Ipupa, Tokooosss

[03:25.32] Toza likolo, Bakokoka Té (Kokate)