Exclusive interview
[00:19.18] Eeh bwana
[00:27.12] Mnyoosha unyooshaa, mwosha uoshwa
[00:29.62] Nimeshasema mwisho nimechoka
[00:31.14] Kua sio kila mshamba ni ngosha
[00:32.62] Wengine monster alafu hatuna shobo
[00:33.65] Fedha nyingi gari ndogo
[00:36.28] Tunadrive tu afu hatushushi vioo
[00:38.03] Maana walimwengu hamnaga dogo
[00:39.66] Kupigana vibomu kujazana home
[00:41.46] Kupiga mastory ya udaku
[00:43.02] Eti Jack ulipiga na ndom?
[00:44.17] Why mmeachana unakonda tu mkaka wa watu
[00:46.27] Heeh! Sasa demu gani unammega?
[00:48.17] Mzigo wa wapi unabeba?
[00:48.99] Mtoto wa Mwanza au nzega
[00:50.03] Kwetu si sehemu yeyote nu shega
[00:51.62] Hakuna kulemba mi staki kuchotana nyuzi
[00:54.06] Kuni confuse
[00:54.77] Ukibeti kwa hapa umeliwa, ilimradi makuzi
[00:56.38] Ukiona kuna mjanja kafa
[00:57.88] Jua kuna mshamba kazaliwa
[00:59.78] Siwafichi people mlipo nipo
[01:00.75] Ila mi nilipo mwiko sio simple
[01:01.54] Kuvamia kambi ya jeshi bila pistol
[01:04.26] Usiende kanisani umelewa kama disco (Yeah)
[01:07.20] Hahaha, now you already know
[01:09.47] Sasa tunaona umekuwa tatizo kabisa
[01:11.22] Sijui ni nani atasolve
[01:12.83] Yeah marapper wabovu laini hawana ata kovu
[01:14.69] Sabuni hawakaukwi makovu, wachovu
[01:16.34] Ni wezi wa pembe za ndovu bora hata Whozu
[01:18.19] Alafu wengi wamejazana mob..
[01:19.85] Nikisema wanasema nasema kwa nguvu
[01:21.39] Wakiniona wanaogopa wanatubu
[01:23.11] Msodoki kiboko ya madada zao
[01:24.69] Na mademu zao mi wote na mudu
[01:26.21] Na ninapo fanya nikweli nafanya
[01:27.65] Wanashindwa kuyafanya naamua kufanya tena
[01:29.57] Yaani nakusanya mafuta manyanya
[01:30.37] Ma hasi na chanya nameza ndo nawatema
[01:34.67] Sio punchline sio flow
[01:36.18] Sio lifestyle sio show
[01:37.65] Sio baby sio doh
[01:40.43] Niko faster sio slow
[01:42.88] Uwe mdogo uwe bro
[01:46.67] Yeah nikishika mic nakalisha tembo
[01:46.67] Baby kali kama Naomi Campbell
[01:48.63] Amuezi kuweza kuniua kwa kunitupa kwenye vishimo
[01:51.46] Vya Omary nyembo
[01:52.77] Mwanza ndo ilipozaliwa nyembo
[01:54.73] Ukigusa unachojitakia pengo
[01:56.59] Ujio wangu zaidi ya popo bawa
[01:58.28] Umelala ukaachia ukasahau angle
[01:59.66] Msodoki is a son ndo habari ya town
[02:00.73] Natuma hadi njiwa zifike salamu
[02:04.29] Kutesa kwa zamu maisha matamu
[02:05.08] Usingoje kipofu akupe salamu
[02:07.03] We kwepa majam, mavitu haram
[02:07.49] Tusingeyasema hawangefahamu
[02:08.91] Nangoja kwa hamu waone utamu
[02:10.16] Najua hawawezi watashusha kalamu chini
[02:11.30] Mbona views wako hawafiki million
[02:14.82] Ngoma zako hazisikiki redioni
[02:16.50] Ukifa ni kweli unacho acha ni legacy
[02:18.14] Mbona dhamani yako wenfi hawaoni
[02:19.57] Upendo wa kweli unatoka moyoni
[02:21.47] Ukimuua nyani haumtazami machoni
[02:23.77] Kwa hiyo wamenawa wanataka kula (Heeh)
[02:24.71] Kuja kushtuka ndotoni
[02:26.37] Ni mambo ya cycle, nyota ndogo ni bebe
[02:27.65] Vimeundwa ukiona vinawaka
[02:29.57] Sucker for pain yaani maumivu zaidi kaka
[02:31.75] Kuona ambaya hajauona mwaka
[02:32.54] Una tatizo na mtu my hommie? Hapana
[02:35.15] Au kuna upande wowote uko? Hapana
[02:36.18] Au show zako bei ni juu? Hapana
[02:37.84] Itakuwa ni... nahisi nahisi
[02:41.20] Au labda wanataka niombe nikonde
[02:42.76] Nishindwe ku cheers na wana ma bottle
[02:44.47] Nishindwe kugonga vikombe
[02:46.19] Kama ni ngoma natoaga kali
[02:47.97] Kweli sasa kipi kinafanya wasigonge?
[02:49.66] Ila waambie wathamini sanaa ya wasanii
[02:51.39] Wasikufe kwa dawa na pombe
[02:53.72] AMEN!
