Tena
[00:08.87] Take 5 now, take 5 now...
[00:18.27] Mungu mwenye baraka
[00:21.78] Nakushukuru kwa hizi fanaka
[00:23.62] Naimba ninapotaka
[00:24.80] Fungua njia nifunge mipaka
[00:26.01] Nyota izidi kuwaka
[00:27.80] Nipate nitoe sadaka
[00:29.08] Waoneshe binadamu bila we ni taka taka
[00:32.74] Niliwapa high and low wakasema nimeongea
[00:34.76] Eeeh wengine kajifariji lege ikawaonea
[00:37.24] Baba levo kalikamata jiji sasa wanaongea
[00:39.69] We kubali tuko level fiti ngoma inapepea
[00:43.11] Hehe mi ni mtatanishi ndio maana nawatatiza
[00:45.47] Wanashangaa kilema anawkimbiza
[00:48.36] Hawanitakii ila nishang'ang'aniza
[00:50.75] Na siwaachi nazidi kukandamiza
[00:53.70] Ati metjali wamekubali kwnza mi ni soo
[00:57.25] Nitafika mbali nizidishe floor
[00:59.19] Hawa wanati tea wanajiona kwa chop
[01:01.52] Samata Sanata nawafunga goal goal
[01:04.31] Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
[01:07.08] Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
[01:09.61] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[01:12.45] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[01:15.48] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[01:18.27] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[01:20.61] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[01:26.23] Walichokosa mizuka nimechafukwa na kina luja
[01:28.36] Hata mvua inyeshe wameyatimba vumbi taruka
[01:31.42] Wajanja wanasanuka, washamna kinashuka
[01:34.55] Na hii haina kufeli songa karibu nikupe ukweli
[01:36.63] Nishapiga makina ngoma mamidundiko mpaka singeli
[01:39.30] Ila mambo ndo yamegoma hao wadau ni matapeli
[01:42.12] Wanaopewagwa nafasi kijiwe nongwa tu hamna teli
[01:44.88] Tunaojuaga nafasi sio sio madarasa ni matapeli
[01:47.64] Kigoma mwisho wa reli
[01:48.89] Nikiite kifala mtafeli
[01:50.26] Asante kwa mashabiki wanaonipa kila la kheri
[01:52.78] Pole kwa wanafiki wanaosifu kwa kukejeli
[01:55.74] Muda ndo umefika tutapambana pah pah pah
[01:59.15] Leo natangaza vita mi ndio kidume nani mwingine?
[02:01.08] Wekeni vikwazo nitapita mi ndio kidume nani mwingine?
[02:03.64] Hamwezi kuniongopea siiishi kwa mazoea
[02:07.92] Nataka nipewe darasa la kuwafunza na kuwakemea
[02:11.14] Watu niwape hamasa za kuwafunza na kuwazomea
[02:11.70] Kisha nifanye siasa mwenye kuimba nikigombea
[02:14.42] Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
[02:22.17] Nataka tena hai, nataka nini? hai hai
[02:25.45] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[02:31.24] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[02:35.16] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[02:36.43] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
[02:38.73] Nataka tena hai, nataka nini hai hai
