High na low
[00:04.60] Here is another one
[00:09.09] Touch, take five now
[00:18.19] Low inafanya niwakabe koo
[00:23.43] Low inafanya hawahemi mabishoo
[00:26.18] Low, mara kip nasambaza floor
[00:28.84] Nawabana kimya kimya kama brother Jemo
[00:31.66] Low, wanapopatia riziki napaziba
[00:34.60] Mi ndio kivuruge nawavurugia ratiba
[00:36.77] Low, anga zao nimegeuka mwiiba
[00:39.48] Kwenye magetto yao wametandaza misiba
[00:42.48] High, high, kwa hii beat kali nawafunza
[00:44.99] Ushafukwa mwanangu wa kitaa nikaminuza
[00:47.88] High, high, alokutuma kwangu kakutuza
[00:50.19] Bado nina moto mkali naunguza
[00:52.64] High, high, kama lakukera bro sorry
[00:55.66] Na kama inauma haina jinsi bro pole
[00:58.42] High, high, bado la kichanga dole
[01:01.16] Natafuta ugali homework onyee
[01:04.01] Low, inawafanya wanibembeleze
[01:06.30] Nimekaza sana wanataka nilegeze
[01:09.09] Low inawafanya wajipendekeze
[01:11.66] Nina domo kubwa hawataki niwameze
[01:14.41] Low, nawang'aza kama black virus
[01:17.11] Nina confidence na simpi mjinga faida
[01:19.68] Low, nawachambua ki Kalori Saida
[01:22.23] Sijamaliza mishe mwendelezo wa tondolaila
[01:25.07] High high, aki ya Mungu siwapendi polisi
[01:27.77] Wanaotubandika kesi mitaji wanafilisi
[01:30.43] High high, kuwachana humu haina jinsi
[01:33.02] Hata niimbe choir kuna mistari tatisi
[01:35.76] High high, haina haja ya kuogopana
[01:38.39] Hii dunia kubwa dunia uwanja upana
[01:41.36] High high, haina haja ya kuogopa balaa
[01:43.94] Mngetupa nafasi tuiendeleze sanaa
[01:46.47] Low, pipipi popopopo
[01:48.95] High high, pipipi popopopo
[01:51.67] Low, pipipi popopopo
[01:54.10] High high, pipipi popopopo
[01:57.08] Low, pipipi popopopo
[01:59.44] High high, pipipi popopopo
[02:02.17] Low, pipipi popopopo
[02:04.94] High high, pipipi popopopo
[02:07.61] Low inafanya nionekane serious
[02:10.40] Nawapa michongo wana wana wananiona genius
[02:13.09] Low inafanya nijione curious
[02:15.71] Walioshindana nami wote wameitwa failures
[02:18.50] Low, wanashangaa kila siku nipo
[02:21.30] Mbona sipotei kama nyani ni filipo
[02:23.97] Low, wanashangaa mbona nipo sipo
[02:26.48] Mtu wa zamani tangu K Town people
[02:29.23] High high, nashukuru Alhamdulillahi
[02:31.85] Ewe Mungu Baba nipe kazi zenye masilahi
[02:34.43] Na hapa astaka fillulahi
[02:37.26] Wasanii wachawi kwenye mziki wetu hawatufai
[02:39.84] High high, huku tunawaza vitu tubebane
[02:42.38] Wao wanawaza kwa waganga walogane
[02:45.12] High high, bora kama vipi ijulikane
[02:47.92] Nani kigatula mwenye pepo tulikane
[02:50.43] Low, basi wote mmesamehewa
[02:52.90] Haya ni maombi na nyi nyote mmeombewa
[02:55.92] Low, hiki ni kipaji sio ngekewa
[02:58.17] Naweza imba pombe na nyi nyote mkalewa
[03:01.03] Low, huu ni uwezo nilopewa
[03:03.56] Wajanja wachache natumai mtaelewa
[03:06.40] Low, hiki ni kipaji sio ngekewa
[03:09.11] Naweza imba pombe na nyi nyote mkalewa
[03:11.70] High high, naweza mezani chungu tasa
[03:14.41] Na nilivyojaa ka Benjamin Mkapa
[03:17.14] High high, nani anabisha kuja hapa
[03:19.88] Skia beat ya T na serious inavyochapa
[03:22.46] High high ngoma inakimbiza fielder kipai
[03:24.88] Ngoma imejiseti kivyovyote mambo yakatai
[03:27.91] High high wasanii wa chobo sasa bye bye
[03:30.62] Hii kama ngama hainyongi kama nimevaa tai
[03:33.36] Low, pipipi popopopo
[03:35.91] High high, pipipi popopopo
[03:38.39] Low, pipipi popopopo
[03:41.05] High high, pipipi popopopo
[03:43.36] Low, pipipi popopopo
[03:46.34] High high, pipipi popopopo
[03:49.36] Low, pipipi popopopo
[03:51.81] High high, pipipi popopopo
