Duniani
[00:06.75] Intro
[00:08.26] Aje je je
[00:10.25] Aye aye Ayeee
[00:11.51] Aje je je
[00:14.00] Hook
[00:14.24] Aje je je hapa Duniani ×4
[00:25.25] Verse:1
[00:26.75] Ile kwamba tu
[00:29.50] Inanichosha akili na moyo
[00:31.50] Riding down town na yangu 🚘Toyo
[00:33.76] Geji ⛽ chini Kama taxi za🚦Congo
[00:36.26] Na dar nishaitupia mikono juu
[00:38.50] Sio kwavile navyoisaka michongo
[00:40.73] Kwaisongo nitoboe ndani ya Bongo
[00:42.74] Hadi ubishoo nikaupa kisogo
[00:45.50] Man najiamini jiamini jiamini
[00:47.75] Ila namuhitaji Mungu atakama nipo makini
[00:50.25] Wakumuamini hamna Duniani hata Mimi
[00:52.75] Nasfi inataka mwili unataka sijui nifanye Nini? Eeh
[00:57.26] Ila namuhitaji Mungu atakama nipo makini
[00:59.76] Wakumuamini hamna Duniani hata Mimi
[01:02.00] Nasfi inataka mwili unataka sijui nifanye Nini?
[01:05.27] Hook
[01:05.77] Jah Jah! Naishi kama Sina dini
[01:07.24] Jah Jah Ooh! I swear to God this life is gonna kill me
[01:09.76] Jah Jah! Kila Kona napigwa chini
[01:12.00] Jah Jah! Nikama maisha yanataka nibaki chini
[01:14.51] Chorus
[01:16.25] Aje je je hapa Duniani ×4
[01:31.51] Verse 2
[01:51.25] We only live once ilo inabidi ulijue
[01:53.24] Dar jua Kali tembea peku uungue
[01:55.51] I got som' ni**as prolly thinking that I dropped outta school
[01:57.78] God damnit, was all offended but I kept it cool
[02:00.25] My shwaty needs a glass of wine, yeah she needs to chill
[02:02.75] All up on her feels when my homies come around
[02:05.25] But I always keep it real I don' want kill the vibe
[02:10.03] Let that shit go nimapito
[02:11.99] Maana sio mwisho pray for kesho
[02:14.26] Toa jasho then feel special
[02:16.50] Keep running get the medal.🏅
[02:19.50] Hook
[02:20.00] Jah Jah! Naishi kama Sina dini
[02:21.76] Jah Jah Ooh! I swear to God this life is gonna kill me
[02:24.25] Jah Jah! Kila Kona napigwa chini
[02:27.02] Jah Jah! Nikama maisha yanataka nibaki chini
[02:29.75] Chorus
[02:30.98] Aje je je hapa Duniani ×4
[02:47.00] Outro:
[03:16.77] Remiboi
