SET ME FREE
[00:23.23] Ehh
[00:28.52] Ehh
[00:31.02] Ehh
[00:34.12] Hivi bado nakumbuka, nikiwa kijana
[00:39.84] Ile bangi nilivuta, pombe nilipewa kwa sana
[00:45.56] Na wasichana walinipenda, wengine walinikataa
[00:51.02] Na hapa nilipoamka, sikulala jana
[00:56.34] Napiga densi usiku kucha, vijana kwa wasichana
[01:02.66] Na masiri zilipasuka, wengi walizaana kwa sana
[01:08.16] Na vijana wengi walikopa deni wapeleke slay queens maskani
[01:13.52] Wakatoanishwa bila kuonjeshwa, wasaniii tuliponea (Eh!)
[01:19.75] Naomba (naomba) nizidi kijana
[01:25.47] Naomba (naomba) nizidi kijana
[01:31.34] Naomba (naomba) nizidi kijana
[01:35.72] Won’t you set me free, nizidi kijana?
[01:42.48] Kaja Facebook kaja Twitter, kaja pia na Instagram (Ooh)
[01:48.39] Wengi walibwaga mioyo na picha za kupendeza sana
[01:53.51] Na walitesa, tesa
[01:55.18] Wazungu wanasemanga ati business and pleasure
[01:58.18] Inasaidianga wazae kupunguza pressure, vijana under pressure
[02:02.01] Wasanii tuliponea
[02:05.49] Naomba (naomba) nizidi kijana
[02:11.09] Naomba (naomba) nizidi kijana
[02:16.83] Naomba (naomba) nizidi kijana
[02:22.06] Won’t you set me free, nizidi kijana?
[02:27.92] Wait! Wait! Wait! (Oh my god)
[02:28.94] I can’t feel my legs, guys
[02:30.07] (So…)
