Lrc Player

NENDA LOTE

SAUTI SOL
[04:24.14]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:17.29] Umetuma wazazi wako waje wanielezee

[00:21.79] Umetuma wazazi wako waje wanielezee

[00:25.54] Hunitaki tena

[00:27.04] Na mashoga zako waje waniambie

[00:31.54] Na mashoga zako waje waniambie

[00:34.04] Ndoa tumeivunja

[00:44.29] Siamini kuna time singeishi bila wewe

[00:48.80] Mapenzi ya kukata na shoka, eeh

[00:53.04] Yashamwagika hayazoleki haya, oh

[00:57.79] Basi nenda lote mama

[01:02.55] Nenda lote mama

[01:04.21] Mpenzi unaenda

[01:07.46] Nilikuenzi kinomanoma

[01:11.71] Yashamwagika hayazoleki haya, oh

[01:15.96] Nenda lote mama

[01:29.72] Ukatuma lawyer wako aje anisomee

[01:34.47] Ukatuma lawyer wako aje anisomee

[01:38.97] Kuwa watoto ulonizalia, eeh

[01:42.96] Kuwa watoto ulonizalia, eeh

[01:46.47] Sitawaona tena

[01:56.96] Siamini kuna time tuliapa hadharani

[02:01.23] Kanisani kwa chanda na pete, eeh

[02:05.96] Yashamwagika hayazoleki haya, oh

[02:10.21] Nenda lote mama

[02:14.96] Nenda lote mama

[02:16.46] Mpenzi unaenda

[02:19.46] Nilikuenzi kinomanoma

[02:23.97] Yashamwagika hayazoleki haya, oh

[02:28.47] Nenda lote mama

[02:51.46] Ukatuma pastor wako aje anikemee

[02:55.96] Ukatuma pastor wako aje anikemee, mama

[03:01.21] Na madeni zangu ukazitangaza, eeh (Ukazitangaza, eeh)

[03:05.72] Na madeni zangu ukazitangaza, eeh

[03:08.96] Mitandaoni

[03:18.72] Shemeji zangu ndugu zako tukionana

[03:23.22] Waambie sisi bado rafiki, eeh

[03:27.71] Wasinipite barabarani, mama, oh

[03:31.97] Umeenda lote mama

[03:35.71] Umeenda lote mama

[03:37.96] Mpenzi unaenda

[03:41.46] Nilikuenzi kinomanoma

[03:45.73] Yashamwagika hayazoleki haya, oh

[03:49.71] Basi nenda lote mama

[03:54.96] Nenda lote mama

[03:55.96] Mpenzi unaenda

[03:59.71] Nilikuenzi kinomanoma

[04:04.21] Yashamwagika hayazoleki haya, oh

[04:08.23] Nenda lote mama

[04:13.99] Nenda lote mama