Lrc Player

Zuchu - Sukari (Official Music Video)

Unknown artist
[03:01.08]·Synced by Guest·
This lyric sheet isn't paired with a song yet, so lines are shown but won't sync or seek.

[00:10.52] Eti nimemlambisha ananambia chombezaa (chombeza)

[00:15.01] Tena nikiizidisha ananambia kolezaa (koleza)

[00:20.03] Nikitaka kusitisha ananambia ongezaa (ongeza)

[00:25.28] Japo imesibitishwa ila itampoteeza aaa

[00:29.74] Ikipanda ni balaaa (naogopa)

[00:32.80] Ikishuka ndo hataali (naogopa)

[00:35.03] Asije pata madhalaa (naogopa)

[00:37.51] Akaikosa na hali (naogopa)

[00:39.99] Radha yake msalaa (naogopa)

[00:42.30] Shila ya kizanzibar (naogopa)

[00:44.78] Nami simpii mi walaa

[00:47.54] Akitaka nampa

[00:48.77] Ai su kaari (nampatia)

[00:51.28] A Suger sukari (nampatia)

[00:53.52] Su kaari (nampatia)

[00:56.01] A Suger sukari (nampatia)

[00:58.52] Su kaari (nampatia)

[01:01.01] Suger sukari (nampatia)

[01:03.52] Su kaari (nampatia)

[01:06.03] A Suger sukari (nampatia)

[01:18.25] Na akilia njaa

[01:20.24] Njuu njaa sifanyi ajisi

[01:23.28] Namjazia jaa

[01:25.53] Juu jaa na vitangawizii eeeh

[01:28.52] Baba chanja baba chanja e (eeeeh)

[01:31.53] Chukua vyote chukua (kulaa)

[01:34.02] Vitafune nganjanganja e (eeeeh)

[01:36.28] Chakua mwaya chakau (kulaa)

[01:38.78] Ujibusti na karanga e (eeeeh)

[01:41.06] Tuliza na kitumbua ila (kulaa)

[01:43.53] Jiadhali na majanga wee

[01:46.28] Usije ukaugua mana

[01:48.26] Ikipanda ni balaaa (naogopa)

[01:50.80] Ikishuka ndo hataali (naogopa)

[01:53.27] Asije pata madhalaa (naogopa)

[01:56.25] Akaikosa na hali (naogopa)

[01:58.25] Radha yake msalaa (naogopa)

[02:00.52] Shila ya kizanzibar (naogopa)

[02:03.00] Nami simpii mi walaa

[02:05.24] Akitaka nampa

[02:06.98] Ai su kaari (nampatia)

[02:09.55] A Suger sukari (nampatia)

[02:12.07] Su kaari (nampatia)

[02:14.28] A Suger sukari (nampatia)

[02:16.78] Su kaari (nampatia)

[02:19.26] Suger sukari (nampatia)

[02:21.77] Su kaari (nampatia)

[02:23.79] A Suger sukari (nampatia)

[02:26.76] Nimloge kwanini kashanogewa (daambua dambua)

[02:31.29] Udambu wa sukarini tamu kolea (daambua dambua)

[02:36.00] A sema da dambua (dambua)

[02:39.26] We dambua (dambua)

[02:41.53] Alua aluaa (dambua)

[02:43.99] We dambua (dambua)

[02:46.50] A sema da dambua (dambua)

[02:48.77] We dambua (dambua)

[02:51.29] Inama kama unafuaa (dambua)

[02:53.53] Kigulu nyanyuaa (dambua)

[00:00.00] Ey