Harmonize - Happy Birthday ( Official Music Video)
[00:17.02] Kwanza nina furaha nitaimba na kucheza (na kucheza)
[00:24.52] Washa mishumaa weka keki juu ya meza (juu ya meza)
[00:31.79] Oh ila usinicheke nimekuletea zawadi kidogo nilichobarikiwa
[00:39.54] Aki mwana mpweke aje na dumu la maji asije kakumwagia
[00:47.57] Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
[00:55.55] Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
[01:01.53] Happy birthday
[01:03.31] Happy birthday to you
[01:06.03] Happy birthday to you
[01:10.04] Happy birthday to you
[01:13.80] Happy birthday to you
[01:34.06] Ah sinywagi pombe leo ntalewa niwape shonde waliochelewa
[01:41.27] Zikinipanda monde nitapepewa ah pembe la ng'ombe au malewa
[01:48.27] Ila usiforget kusema asante baba na mama walokukuza ukakua
[01:55.76] Tunakupa na keki kwa wema akulinde baba maulana twakuombea na dua
[02:03.77] Ah na kapicha kako nitakoposti wasiokupenda itawacosti
[02:11.31] Ah leo siku yako nishajikoki tuko rafiki zako tunasema
[02:17.79] Happy birthday
[02:19.05] Happy birthday to you
[02:22.29] Happy birthday to you
[02:26.03] Happy birthday to you
[02:30.03] Happy birthday to you
[02:50.75] Kata keki kata (kata) oh kata (kata) kata (kata) kata unilishe
[02:58.82] Keki ya jina lako (kata) walishe na wenzako
[03:02.29] (Kata) tupo kwa ajili yako (kata) Kata unilishe
[03:06.28] Oh basi kata (kata) oh kata (kata)
[03:10.03] Kata nipone (kata) kata (kata unilishe)
[03:14.54] Kata, Kata, Kata, Kata unilishe
[03:21.77] Ah na kapicha kako nitakoposti
