Rayvanny - I love you (Official Music Video) SMS SKIZA 8548826 to 811
[00:16.96] Ilikuwa safari ndefu yenye mateso
[00:19.20] Machozi, mizigo, vikwazo
[00:22.47] Ila yote umenitua
[00:27.44] Naomba penzi letu lisife kesho
[00:30.94] Ukanipa presha, mawazo
[00:34.19] Chonde mama utaniua
[00:37.94] Na vile hujui kununa, fundi wa kudeka
[00:41.74] Hata sijakutekenya unacheka
[00:43.97] Ooh, tambua ushaniteka
[00:47.72] Hata bila chakula nanenepa, my love
[00:51.96] Salama nikiwa na wewe
[00:53.96] Hata kama nina shida nasahau
[00:57.22] Sura kama malaika
[00:59.98] Na wala hauringi kwa dharau
[01:03.99] Lawama acha nipewe
[01:05.96] Nitoke duniani angalau
[01:09.44] Kuliko ukanyanyasika
[01:12.72] Hilo mpenzi usahau
[01:14.94] Me oh, oh, oh (ah eh)
[01:16.97] Mi amor (ah eh)
[01:19.95] My love (ah eh)
[01:22.97] Te amo (ah eh)
[01:25.73] I love you
[01:28.23] I love you
[01:30.98] Baby, I love you
[01:33.98] I love you
[01:37.95] I love you (minakupenda sana)
[01:40.21] I love you (usiniache mama)
[01:42.95] Baby, I love you (me oh)
[01:45.71] I love you
[02:01.72] Sura ya mama, umbo lawama
[02:03.95] Una ya bia miguu
[02:06.70] Unanichanganya ukiinama naangalia tattoo
[02:12.47] Nipakulie chakula mama sikomi
[02:15.46] Asubuhi, mchana mpaka jioni
[02:18.22] Michezo unaijua mama msomi
[02:21.01] Pini kitovu, kifua na sikioni
[02:24.71] Salama nikiwa na wewe
[02:26.96] Hata kama nina shida nasahau
[02:30.20] Sura kama malaika
[02:32.73] Na wala hauringi kwa dharau
[02:35.98] Lawama acha nipewe
[02:38.74] Nitoke duniani angalau
[02:41.46] Kuliko ukanyanyasika
[02:44.44] Hilo mpenzi usahau
[02:49.98] Me oh, oh, oh (ah eh)
[02:51.18] Mi amor (ah eh)
[02:53.22] My love (ah eh)
[02:55.73] Te amo (ah eh)
[03:01.21] I love you
[03:04.21] I love you
[03:07.95] Baby, I love you
[03:10.49] I love you
[03:12.97] I love you
[03:15.45] I love you
[03:18.44] Baby, I love you
[03:32.96] I love you
